Ruka hadi maudhui

Sabuni safi, moja kwa moja kutoka kiwandani.

Sabuni za mikono, vyombo, nguo, nyumba na gari. Zinatengenezwa Kinyerezi, zinauzwa kwa jumla.

  • Dish Wash Limau
  • Hand Wash Tut Fruit
  • Shower Gel Oats na Asali
  • Hand Wash Chungwa
  • Car Wash
Chupa za Hand Wash zilizojazwa kwenye meza ya kiwanda, Kinyerezi

Mfano: lebo ya Hand Wash

Batch No
LIL1.1/001
MFG
03 Sept 2026
EXP
03 April 2027
Imetengenezwa na kufungashwa na Lalex Industries Ltd, Dar es Salaam.

Tunatengeneza kila chupa hapa Kinyerezi.

Kiwanda chetu kina vyumba maalum vya malighafi, uzalishaji, ukaguzi wa ubora, lebo na stoo ya bidhaa. Kila chupa ina namba ya batch, tarehe ya kutengenezwa na ya kuisha muda.

  • Raw Material Store
  • Production Area
  • Quality Control Area
  • Finished Products Store
Tembea ndani ya kiwanda

UJAZO

Kutoka chupa ya mkononi hadi dumu la lita 20.

Kila ujazo unapatikana kwa katoni kwa wauzaji na taasisi.

Hand WashMikono
500 ml5 L20 L
Dish WashJikoni
750 ml1 L5 L
Shower GelMwili
500 ml1 L
Car WashGari
1 L5 L
Fabric WashNguo
5 L
All PurposeNyumba
5 L

JUMLA

Agiza kwa katoni, moja kwa moja kutoka kiwandani.

  • Maduka na supamaketi
  • Hoteli na migahawa
  • Shule na taasisi
  • Car wash
  • Wasambazaji

Daftari la oda

Katoni 0

Oda yako iko tupu

Chagua bidhaa kwenye rafu, kisha bonyeza “Weka kwenye oda”.

Tafuta Lalex dukani karibu nawe.

Orodha ya maduka yanayouza Lalex inaandaliwa. Kwa sasa, tuandikie tukuonyeshe duka la karibu.

Uliza duka la karibu